Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Kabsa asee ni time yao bhanaClouds wanaenjoy utawala huu
Inasemekana na yeye yumo kwenye ile list ya Naibu Waziri.Mbona masuala ya kumwagiana maji ni ya kike na mara chache kwa wanaume wa Dar es Salaam.
ukweli Ngosha umeni disappointment kabisa.
Alafu birthday huwa ni kwa wanawake na watoto bhana.
Aseee huwa nawaza sana wanaume ku care kuhusu birthday zaoHivi kumbe kuna wanaume huwa wanafanya birthday?
Kabisa mkuu yan hata mshkaj anialike kwenye birthday cwez kwenda kbsAseee huwa nawaza sana wanaumea ku care kuhusu birthday zao
Mambo ya kike hayo
Aseee huwa nawaza sana wanaumea ku care kuhusu birthday zao
Mambo ya kike hayo
Kuna jamaa yangu eti alikuwa na birthday sikwenda jamaa akaanza kumind.Kabisa mkuu yan hata mshkaj anialike kwenye birthday cwez kwenda kbs