Anaenda kuzisemea nini hizo timu za Taifa?
Atakuwa upande aliopo sasahivi.Vipi ikitokea kukawa na sitofahamu kati ya TFF na wizara, msemaji atakuwa upande wa nani?
Taifa ni moja ila lina timu nyingi, Karia asiyempenda kaja.Hiki kiswangishi ni kibovu "timu za taifa" ni mataifa yapi hayo na mangapi?