Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
RC Makonda ameandika kwenye Instagram yake akimwambia Zari kuwa ana uwezo mkubwa wa kupita kwenye dhoruba na akaendelea kubaki imara na kuendelea kupata heshima kutoka kwa familia yake.

RC Makonda kaandika ”Thamani yako kwangu bado ni kubwa sana, kwani uwezo wako wa kupita kwenye dhoruba na ukabaki imara na familia yako unaendelea kukupa heshima.”

insta.PNG
 
Namnukuu Makonda "Thamani yako kwangu bado ni kubwa sana" hii statement mboni inautata!!.
 
Diamond atadai madawati yake aliyochangia mkoa
 
RC Makonda ameandika kwenye Instagram yake akimwambia Zari kuwa ana uwezo mkubwa wa kupita kwenye dhoruba na akaendelea kubaki imara na kuendelea kupata heshima kutoka kwa familia yake.

RC Makonda kaandika ”Thamani yako kwangu bado ni kubwa sana, kwani uwezo wako wa kupita kwenye dhoruba na ukabaki imara na familia yako unaendelea kukupa heshima.”

View attachment 591670
baada ya hapo tunaomba vyeti, please!
 
Hahahaaaaaa shikamoo daimond ........naona familia yako ni ya kitaifa zaidi
 
Vitu Vngne Ni Bora Kukaa Kimya Unajishushia Heshma Km Kiongoz

Makonda yupo sahihi diamond sio mtu mdogo hapa nchini ni mmoja kati ya vijana wenye ushawishi mkubwa pia ni rahisi kupata hata uongozi kutokana na influenc aliyokuwa nayo.
 
Back
Top Bottom