Makonda ana nini? Watu wameichukia timu ya Taifa ghafla,wamefurahi imefungwa,Ndugai anachekea chini ya meza!

Makonda ana nini? Watu wameichukia timu ya Taifa ghafla,wamefurahi imefungwa,Ndugai anachekea chini ya meza!

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Tusaidiane jamani

Timu ya taifa imechukiwa ghafla
Kuna haja ya kiongozi wa kitaifa kusafisha hali ya upepo

Maana sasa kuna Timu ya Taifa ya CCM na ya CDM, na ya wasio na vyama,timu ya Taifa imemeguka vipande

Namuona ndugai akichekea chini ya meza
 
Ushindi wa ccm uko mikononi mwa Nec n policcm
 
Tusaidiane jamani

Timu ya taifa imechukiwa ghafla
Kuna haja ya kiongozi wa kitaifa kusafisha hali ya upepo

Maana sasa kuna Timu ya Taifa ya CCM na ya CDM, na ya wasio na vyama,timu ya Taifa imemeguka vipande

Namuona ndugai akichekea chini ya meza
Huyu dogo DAB ana nuksi sana
 
... CCM Stars imeanzishwa rasmi!
 
Timu ya taifa ina wachezaji wa kada zote, unapoweka ujinga wa siasa kwenye kipindi ambacho siasa imekuwa ni uadui kwa wengine lazima timu icheze chini ya kiwango tu.
 
Tuwekane sawa
 
Miaka yote huwa hakuna timu ya taifa bali mkusanyiko tu wa wachezaji wanaoenda kushiriki na sio kushindana...
 
Hahah itakuwa hata mikono wameacha home, mana hata magoli ya mkono yamewashinda...
Unataka Stars ishinde Kama CCM

Halafu Polisi umewaacha Tanzania

Hapa Makonda alijichanganya[emoji23]
 
Back
Top Bottom