johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kichwa cha thread kinajieleza
Ukifuatilia utendaji wa Makonda kwa sasa utatambua Kuwa ameujua Ukweli
Watanzania hadi vijijini wameshaamka ila bado Watu wa DSM ndio wamekariri maisha ya Uchawa
Makonda atarudi kuiongoza CCM muda si mrefu Ili Chama kipate Mtu wa kumkabili Ni Yeye, mwenyekiti mpya wa Chadema
Mlale Unono 😀😀🌟