johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jo sasa wewe wa dar unakubalije kulala wakati wa mkoa wapo macho kitamboπKichwa cha thread kinajieleza
Ukifuatilia utendaji wa Makonda kwa sasa utatambua Kuwa ameujua Ukweli
Watanzania hadi vijijini wameshaamka ila bado Watu wa DSM ndio wamekariri maisha ya Uchawa
Makonda atarudi kuiongoza CCM muda si mrefu Ili Chama kipate Mtu wa kumkabili Ni Yeye, mwenyekiti mpya wa Chadema
Mlale Unono πππ
Kwa hiyo watu wa dar ndio mazuzu eti?Kichwa cha thread kinajieleza
Ukifuatilia utendaji wa Makonda kwa sasa utatambua Kuwa ameujua Ukweli
Watanzania hadi vijijini wameshaamka ila bado Watu wa DSM ndio wamekariri maisha ya Uchawa
Makonda atarudi kuiongoza CCM muda si mrefu Ili Chama kipate Mtu wa kumkabili Ni Yeye, mwenyekiti mpya wa Chadema
Mlale Unono πππ
Kulingana na Joπ«£Kwa hiyo watu wa dar ndio mazuzu eti?
Kichwa cha habari yako chajieleza. Kumbe jahazi limezama NUTA jazzy. Nimwokoe nani.π€£π€£π€£π€£ kamata ulanzi natangulia kaunta kulipa.Kichwa cha thread kinajieleza