Bro umeelezea vizuri sana big up xnWanabodi,
Katika mambo ambayo nimefurahishwa nayo ni kitendo cha kiuungwana kwa RC Makonda kwenda Clouds Media na kutoa pole. Pamoja na msuguano wake na Ruge, tofauti hiyo leo haijajionesha wazi. Nampongeza sana Ruge, Kijana huyu anaonekana kuwa na busara sana katika jambo hili ambalo ni gumu kwake na timu yake.
Mara zote, hata kwetu kijijini,matukio ya huzuni kama misiba ndio huwaunganisha watu zaidi kuliko kuwagawa. RC Makonda wakati anaondoka amempa ahadi Boss Kusaga kuwa amewaongezea lisaa limoja la Fiesta. KITENDO HICHO NI CHA KIUUNGWANA hasa katika kuwapa ari vijana katika kupambana na umaskini na kukuza vipaji. Hawahawa ndio watatusaidia ikifika 2020 wakati wa kampeni zetu nchi nzima bila kujali itikadi za vyama. Tuwapendeke, tuwasaidie.
Achilia mbali positive impact za FIESTA, ni kweli kuna kelele na mambo mengine ya kihalifu. Ninaamini kuwa likipangwa vizuri jambo hili, naamini RC Makonda ataruhusu jambo hili la Fiesta lifanyike hadi asubuhi. Ombi Maalum kwa RC Makonda, waruhusu Clouds wapige Fiesta kama zamani. Wasaidie ili angalau vijana watakaopanda jukwaani wapate kipato chao wakatunze familia zao. Wewe ni kama MZAZI hapa Dar es Salaam. Licha ya kuwa na umri mdogo ila una nguvu katika mfumo wa utawala. Ukizingatia kuwa bado una safari ndefu katika maisha na vijana wenzako hao, hebu wasaidie kutimiza ndoto zao kama ulivyosaidiwa wewe ona hapa chini ulivyoelezea...
Fanya kama ulivyofanya kipindi cha nyuma. Ondoa tofauti zilizopo kati yako na wao. Dereva naamini anasumbuka abiria wanapomsumbua anapoendesha gari lake hasa katika kipindi hiki ambacho vuguvugu la kupambana na 'mafisadi' linaendelea.Nimekusikiliza hapa ulivyotimiza ndoto zako. Hebu wasaidie hao jamaa. Mungu naamini atashusha baraka zake kwako. Kawaombee kibali hata kwa Mh. Rais, naamini anavyowapenda, atawaruhusu kwa siku hiyo moja kufanya hiyo event.
Mungu ibariki Tanzania,
Nelson,
Dar es Salaam
22/11/2017
Wanabodi,

Mkuu xn hili ni neno la lugha gani?Bro umeelezea vizuri sana big up xn
Mi mwenyewe mgeniMkuu xn hili ni neno la lugha gani?
Ila kama ni mwanke andika tu ivyo ivyoMi mwenyewe mgeni
Kweli huyo ni Rais wa Dar,sheria ipo chini ya Bashite anachoamua ndicho kinafanyika pasipo kujali kuna sheria,hata kama ni Mkuu wa Mkoa lakini siyo kutumia mamlaka aliyonayo kunyanyasa wengine na kulipiza kisasi,hilo linawezekana tu kwa Nchi ambayo viongozi wake hawafuati sheria na hawazingatii kama Tanzania,lakini ingekuwa sheria inafuatwa Bashite asingekuwa na kiburi cha kulipiza kisasi,sheria ingekuwa inawalinda aliokosana nao,na ni dhahiri pia kwa makosa aliyoyafanya kukivamia kituo cha Runinga cha Clouds angelikuwa kaishaondolewa na angekuwa na kesi ya kujibu Mahakamani kwa kutumia madaraka yake vibaya lakini kwa sababu ni utawala unaolea viongozi watenda maovu kama Bashite hilo halionekani kama ni tatizo,wenye akili wanaona ni tatizo lakini wapumbavu wanaona siyo tatizo na wanaunga upuuzi wa Bashite,siku zote naamini hakuna ajuaye kesho na hakuna mwenye miadi na Mungu,muhimu atujalie uzimaHii ni baada ya kutembelea kituo cha utangazaji cha clouds media na kuwapa pole kwa tukio lililowapata jana, kabla ya kuondoka akawaambia kua ameongeza saa moja zaidi hivyo badala ya saa sita mwisho itakua saa saba
Machadema huwa humueleweki mnatakaga nini duniani!Kumbe yeye ana uwezo wa kuvunja sheria??
Watu wanaoandika hivyo wanakera sana, wengi wao wan IQ ndogoMkuu xn hili ni neno la lugha gani?
unapoteza muda mkuu, lala tuKama sheria inataka music upigwe mwisho saa 6 kamili usiku, huyu bwana anatoa wapi mamlaka ya kuongeza saa moja? "Upsurging constitutional powers...."
So yuko juu ya sheria????You guys are sick!!!!Kwasababu yeye ni mwenykiti wa kamati ya ulinzi na usallama
Unasifia ujinga,Ruge mwenyewe clouds 360 amemuita makonda kama beki mkabaji,yaani fitina mwanzo mwisho!Halafu katika sheria ya basata,kufanya event kama fiesta kwenye uwanja Wa wazi mwisho ni saa 7!So hajaongeza kituWanabodi,
Katika mambo ambayo nimefurahishwa nayo ni kitendo cha kiuungwana kwa RC Makonda kwenda Clouds Media na kutoa pole. Pamoja na msuguano wake na Ruge, tofauti hiyo leo haijajionesha wazi. Nampongeza sana Ruge, Kijana huyu anaonekana kuwa na busara sana katika jambo hili ambalo ni gumu kwake na timu yake.
Mara zote, hata kwetu kijijini,matukio ya huzuni kama misiba ndio huwaunganisha watu zaidi kuliko kuwagawa. RC Makonda wakati anaondoka amempa ahadi Boss Kusaga kuwa amewaongezea lisaa limoja la Fiesta. KITENDO HICHO NI CHA KIUUNGWANA hasa katika kuwapa ari vijana katika kupambana na umaskini na kukuza vipaji. Hawahawa ndio watatusaidia ikifika 2020 wakati wa kampeni zetu nchi nzima bila kujali itikadi za vyama. Tuwapendeke, tuwasaidie.
Achilia mbali positive impact za FIESTA, ni kweli kuna kelele na mambo mengine ya kihalifu. Ninaamini kuwa likipangwa vizuri jambo hili, naamini RC Makonda ataruhusu jambo hili la Fiesta lifanyike hadi asubuhi. Ombi Maalum kwa RC Makonda, waruhusu Clouds wapige Fiesta kama zamani. Wasaidie ili angalau vijana watakaopanda jukwaani wapate kipato chao wakatunze familia zao. Wewe ni kama MZAZI hapa Dar es Salaam. Licha ya kuwa na umri mdogo ila una nguvu katika mfumo wa utawala. Ukizingatia kuwa bado una safari ndefu katika maisha na vijana wenzako hao, hebu wasaidie kutimiza ndoto zao kama ulivyosaidiwa wewe ona hapa chini ulivyoelezea...
Fanya kama ulivyofanya kipindi cha nyuma. Ondoa tofauti zilizopo kati yako na wao. Dereva naamini anasumbuka abiria wanapomsumbua anapoendesha gari lake hasa katika kipindi hiki ambacho vuguvugu la kupambana na 'mafisadi' linaendelea.Nimekusikiliza hapa ulivyotimiza ndoto zako. Hebu wasaidie hao jamaa. Mungu naamini atashusha baraka zake kwako. Kawaombee kibali hata kwa Mh. Rais, naamini anavyowapenda, atawaruhusu kwa siku hiyo moja kufanya hiyo event.
Mungu ibariki Tanzania,
Nelson,
Dar es Salaam
22/11/2017
Ndugu una hasira! Ha ha ha
Ndugu sheria na matamko ya nchi hii sio ya kujiaminisha nayo.hahah!
then whats happen?
waliomba kibali au?