Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,592
- 2,381
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wachezaji wamenuna kwa kufungwa, wanakuta watanzania wanawapokea kwa vigelegel, ndio maana samattta aliamua kusepa peke yake anajua akili za Bashite anaweza wapeleka beach wakapige picha za ukumbusho.
AhSANTENI KWA USHIRIKIYaani wachezaji wamenuna kwa kufungwa, wanakuta watanzania wanawapokea kwa vigelegel, ndio maana samattta aliamua kusepa peke yake anajua akili za Bashite anaweza wapeleka beach wakapige picha za ukumbusho.
Tangu lini mchawi akawa na aibu?Ndo kawaida ya masisiemu lakini, hayana haya hata kidogo..