Inaelekea kambi ya wafaidika Okt29 imepanic.
Timbwili la hotuba ya Nchimbi kimsingi imetibua kambi ya wale wafaidika wa Okt29.
Makonda asiye na historia ya kuwa Thinker ametumwa kumu attack personally Dr Nchimbi..
Pesonal attacks badala ya ku address principles za kisiasa ni kosa kubwa la wafaidika wa Okt 29.
Hiyo kete itamezwa.
Majadiliano yanaendelea.
Your browser is not able to display this video.
Tunachokijua
Wakati akizungumza Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) uliofanyika Jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi aliwataka Watanzania wapambane wapate katiba mpya.
Kauli hiyo ilizua mjadala mkubwa miongoni mwa wananchi na wafuasi mbalimbali.
Madai
Kumekuwapo na kipande cha video kinachomuonesha Waziri wa habari sanaa na michezo Paul Makonda akizungumza na kudaiwa kuwa mazungumzo yake hayo yemejikita kwenye kujibu alichokizungumza Dkt. Nchimbi Julai 23, 2026.
Uhalisia wa video hiyo.
Ufuatiliaji wa JamiiCheck umejiridhisha kuwa video hiyo haihusiani na kumjibu Dkt. Mwigulu Nchimbi.
Video hiyo imetumika katika muktadha tofauti kwani video hiyo ilichapishwa mtandaoni wakati alipotoa hotuma hiyo Machi 25 alipokuwa akizungumza na kutoa akitoa maelezo mafupi kuhusu Mkutano wa Watayarishaji wa Vipindi vya Elimu kwa Umma uliondaliwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)jijini Arusha. Tazama hapa, hapa na hapa.
Inaelekea kambi ya wafaidika Okt29 imepanic.
Timbwili la hotuba ya Nchimbi kimsingi imetibua kambi ya wale wafaidika wa Okt29.
Makonda asiye na historia ya kuwa Thinker ametumwa kumu attack personally Dr Nchimbi..
Pesonal attacks badala ya ku address principles za kisiasa ni kosa kubwa la wafaidika wa Okt 29.
Hiyo kete itamezwa.
Majadiliano yanaendelea.
Nakuomba zingatia sana hii sentensi yangu ya mwisho kuwa anayekutuma atakuponza kwani unayemjibu si mwepesi. Dkt. Nchimbi anajibiwa na Mtu kama Kikwete ambaye ndiyo Kakulea Wewe pamoja na Marehemu Samuel Sitta. Na aliyekutuma nae hana hadhi ya Kupambana nae kwani anamjua vyema huyo Mwamba ndani ya CCM.
nimeona kuna ka clip fulani ka makonda alikozungumza miezi kadhaa nyuma kanatumika kuuaminisha umma kuwa anamjibu nchimbi kwa kauli yake ya week kadhaa zilizopita na hiyo ni ishara kwamba tuna changamoto ya binadamu hapa Tanzania wanaotumia akili zao sawa sawa katika kupokea taarifa na ku analyse relevance ya taarifa husika.

jana wakati naiangalia nikamuona mfanyakazi mwenzangu aliyekuwepo kwenye hicho kikao cha Makonda, ilibaki kidogo tu nimpigie simu, nimwambie mbona kikao chenu kinatumika kufanya upotoshaji mitandaoni.
jana wakati naiangalia nikamuona mfanyakazi mwenzangu aliyekuwepo kwenye hicho kikao cha Makonda, ilibaki kidogo tu nimpigie simu, nimwambie mbona kikao chenu kinatumika kufanya upotoshaji mitandaoni.
Inaelekea kambi ya wafaidika Okt29 imepanic.
Timbwili la hotuba ya Nchimbi kimsingi imetibua kambi ya wale wafaidika wa Okt29.
Makonda asiye na historia ya kuwa Thinker ametumwa kumu attack personally Dr Nchimbi..
Pesonal attacks badala ya ku address principles za kisiasa ni kosa kubwa la wafaidika wa Okt 29.
Hiyo kete itamezwa.
Majadiliano yanaendelea. View attachment 3638303View attachment 3638546
Huyu Mwamba ni kama hii nchi ni yake maana jinsi anavoongea ni kama yeye na jopu lake ndo wapangaji safu za Rais..Anajua kabisa fulani hatakuwa Rais 2030 na anauhakika atafika 2030..Huyu Mwamba nimemvulia Kofia.