Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Watanzania, msikubali kufanywa wajinga kwa mtu mmoja kuhamisha mjadala unaohusu maisha ya watu na kuwaletea vihoja vyake ili mvijadili na muache hoja za msingi zinazohusu maisha ya watu na utayari wa serikali kwenye matukio kam,a haya.
Waandishi wa habari na nyie kazi kwenu ipi iwe ni habari kuu kati ya matamshi ya Bashite na yanayoendelea huko Kariakoo.
Jiulizeni siku zote alikuwa wapi?
Kwanini leo na si jana au juzi?
Waandishi wa habari na nyie kazi kwenu ipi iwe ni habari kuu kati ya matamshi ya Bashite na yanayoendelea huko Kariakoo.
Jiulizeni siku zote alikuwa wapi?
Kwanini leo na si jana au juzi?