Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ajali isingetokea nyie CHADEMA mngekuwa mnaongelea nini?Watanzania, msikubali kufanywa wajinga kwa mtu mmoja kuhamisha mjadala unaohusu maisha ya watu na kuwaletea vihoja vyake ili mvijadili na muache hoja za msingi zinazohusu maisha ya watu na utayari wa serikali kwenye matukio kam,a haya.
Waandishi wa habari na nyie kazi kwenu ipi iwe ni habari kuu kati ya matamshi ya Bashite na yanayoendelea huko Kariakoo.
Jiulizeni siku zote alikuwa wapi?
Kwanini leo na si jana au juzi?
Kwani ndio mara ya kwanza kwa yeye kuwa na event za namna hii?Mbona Bashite toka wiki jana hii press yake alikua anaifanyia promo
We people, reasonable ones, can handle several situations simultaneously...hakuna wa kutoka kweye reliWatanzania, msikubali kufanywa wajinga kwa mtu mmoja kuhamisha mjadala unaohusu maisha ya watu na kuwaletea vihoja vyake ili mvijadili na muache hoja za msingi zinazohusu maisha ya watu na utayari wa serikali kwenye matukio kam,a haya.
Waandishi wa habari na nyie kazi kwenu ipi iwe ni habari kuu kati ya matamshi ya Bashite na yanayoendelea huko Kariakoo.
Jiulizeni siku zote alikuwa wapi?
Kwanini leo na si jana au juzi?
🐷🐷🐷Ajali isingetokea nyie CHADEMA mngekuwa mnaongelea nini?
Nadhani mleta mada ndiye anataka kuhamisha mjadala. Kama unajua mtego unakubalije kutegeka?Jiulizeni siku zote alikuwa wapi?
Kwahiyo hawezi ku-take advantage ya hilo tukio kuhamisha mjadala?Hili lilipangwa muda sana,Acheni kupenda vitu simple simple na kuconect dots kitotoo.
Ameshajua akili zetu zilivyo.Kweli akili za watawala siku zote nikuamisha hoja muhim pale wanapoboronga, tuko kwenye maombi ya ndugu zetu watu wanakuja na drama za kipuuzi, alishindwa nini kuyasema mapema