Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kesho ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Arusha, leo Ijumaa Machi 7, 2025 nyama choma italiwa bure.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ikiwa ni sehemu ya shamrashamra hizo, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeratibu tukio hilo eneo la 'Clock Tower' na kwamba, wakazi wa Arusha watakula nyama choma bila gharama yoyote.
Ng’ombe zaidi ya 400 pamoja na mifugo mingine imechinjwa na kuchomwa ili kumpa fursa kila Mwananchi atakayefika katika eneo hilo kufaidi huduma hiyo isiyo na malipo.
Pia, Soma