Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,544
- 2,169
Mheshimiwa mkuu wa mkoa, sisi wakazi wa Kiseriani hasa maeneo ya Kilimani tuliungiwa maji mwezi wa tatu mwaka huu.
Ajabu maji yanatoka mara moja kwa wiki tena usiku. Hatuelewi kisa cha kuungiwa maji na kuendelea kuteseka.
Tunaomba ingilia kati tupate huduma hii kama wakazi wengine wa maeneo mengine.
Pangu Pakavu