Usa river pia watendaji wa idara ya maji wanyanyasaji kwa lugha chafu na kutokuwasikiliza wateja.Pia wanakata maji bila kuwasiliana na mteja.
Sasa CCM ndo imekuwa ya kuwakatia watu maji wakati wa kampeni utasikia shida ya maji,barabara,hospitali zataisha.