Makonda kila mtu ni ndugu yao.

Makonda kila mtu ni ndugu yao.

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,789
Reaction score
10,388
Hakuna mtu mwenye
ndugu wengi kama
konda wa daladala. Utasikia,

"HAYA, DADA HAPO
MBELE,
MJOMBA
KULE MWISHO.
MA-MDOGO
UNAENDA?, NGOJA ASHUKE BIBI.
HAYA SHEMEJI
UMEIKUTA YA
KUWAHI.
Babu njoo ukae!
Baba angu hapo tusogee kidogo, Shangazi maliza ngazi,
Swaiba geukia mbele,
Kaka hapo shika
upande wa pili,
Mdogo wangu mpishe
Ma Mkwe akae. Subiri Shemeji yako
apande.
MAKONDAKTA WANA MAMBO!
 
Hii SMS ni ya siku nyingi sana.

Ipo kwenye uzi wenye kichwa cha habari.

''Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na chako"
 
Niliionaga post kama hii miaka mingi sana nyuma
 
Back
Top Bottom