MAKONDA KUSEMA WAKRISTO KUOWA MMOJA NA KUENDELEA

MAKONDA KUSEMA WAKRISTO KUOWA MMOJA NA KUENDELEA

Ibrahim Msuya

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
572
Reaction score
1,264
HM: makondo kusema kwamba wakristo kuowa wanawake wawili je, ni sawa au ndio kutafuta kiki mjini au ni kweli itakuwa imesaidia dada zetu kukaa nyumbani muda mrefu bila ya kupata mchumba?
 
HM: makondo kusema kwamba wakristo kuowa wanawake wa wili je, ni sawa au ndo kutafuta kiki mjini au ni kweli itakuwa imesaidia dada zetu kukaa nyumbani mda mrefu bila ya kupata mchumba?
Tunaendelea kumwomba mungu
 
Unamaanisha amesema wanaume wanaoamini katika Kristo Yesu wanatakiwa waoe mke zaidi ya mmoja? If yes..
Naona baada ya kitabu cha Malaki kwenye biblia anataka kuongeza kingine kinachoitwa Bashite.
 
Kama ataonyesha mfano basi atafuatwa lakini kuongea tu kama Chiriku haisaidii
 
Binafsi nitaacha kuwa na wivu siku nyie pia mkiacha kuwa na wivu.
Tofauti na hapo ni wivu wivuni.
Aya endelea kushindana na wanaume
Utapata unachokitafuta
Ukichokoza nyuki mchana uwe Umejiandaa vzr Kwel
 
Back
Top Bottom