Makonda leo kutinga club legends ku boogie

Makonda leo kutinga club legends ku boogie

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Watu wangu wa zamaniiiiiii,

Leo nimeona kwenye page ya mkongwe DJ John Dillinga kuwa big boss wa jiji la Dar atakuja kujikumbusha nyakati muziki ukiwa muziki ndani ya club legends zamani nyumbani lounge Namanga.

Karibu sana kiongozi kijana, na imagine mkuu uki boogie down na akina Digadiga, Seydou n.k Safi sana viongozi vijana wanapojichanganya namna hii. Utashuhudia wazee wanavyoyarudi mangoma na mvi zao!

Old is always gold ...
 
Asimsahau "Mtume Boniface Mwamposa", sambamba na "Mzee Wa Upako". Wana dakika 30 kila mmoja za kutangaza neno la mungu.[emoji848][emoji2955]
 
Ajichanganye tu, mameya mbona tuko nao naye aje tu
 
Dj dilinga the one and only nitapita kukumbusha enzi

Muulize Kwanini aliondoka Redio one stereo ? We miss his vocal and good music on redio station

Old is alywas gold
 
Haya bwana!...Ila mjue mnafukuza wateja kwa maslahi ya mtu mmoja lakini siwalaumu maana hamuwezi kukataa ila najua rohoni hamna amani na ujio wake!!
 
Watu wangu wa zamaniiiiiii,

Leo nimeona kwenye page ya mkongwe DJ John Dillinga kuwa big boss wa jiji la Dar atakuja kujikumbusha nyakati muziki ukiwa muziki ndani ya club legends zamani nyumbani lounge Namanga.

Karibu sana kiongozi kijana, na imagine mkuu uki boogie down na akina Digadiga, Seydou n.k Safi sana viongozi vijana wanapojichanganya namna hii. Utashuhudia wazee wanavyoyarudi mangoma na mvi zao!

Old is always gold ...
Makonda akienda sehemu ku boogie hilo tu litanifanya nisikanyage.

Hachelewi kuja na wahubiri injili, katikati ya boogie waanze kuhubiri.
 
Watu wa zamani si wa mchezo mchezo ....check hii

Makonda akienda sehemu ku boogie hilo tu litanifanya nisikanyage.

Hachelewi kuja na wahubiri injili, katikati ya boogie waanze kuhubiri.

Anaenda kuhesabu nani mwenye vijisent na hayupo kwenye anga zake. Si unajua story na heshima club ni kuhusu pesa na wenye pesa.

Wenye nazo beware!
 
Anaenda kuhesabu nani mwenye vijisent na hayupo kwenye anga zake. Si unajua story na heshima club ni kuhusu pesa na wenye pesa.

Wenye nazo beware!
Nooooo kama umewahi kufika pale is all about music and to dance. Hakuna ubishoo ni kucheza tu kama zama zile
 
Back
Top Bottom