tehtehAsimsahau "Mtume Boniface Mwamposa", sambamba na "Mzee Wa Upako". Wana dakika 30 kila mmoja za kutangaza neno la mungu.[emoji848][emoji2955]
Makonda akienda sehemu ku boogie hilo tu litanifanya nisikanyage.Watu wangu wa zamaniiiiiii,
Leo nimeona kwenye page ya mkongwe DJ John Dillinga kuwa big boss wa jiji la Dar atakuja kujikumbusha nyakati muziki ukiwa muziki ndani ya club legends zamani nyumbani lounge Namanga.
Karibu sana kiongozi kijana, na imagine mkuu uki boogie down na akina Digadiga, Seydou n.k Safi sana viongozi vijana wanapojichanganya namna hii. Utashuhudia wazee wanavyoyarudi mangoma na mvi zao!
Old is always gold ...
Dj dilinga the one and only nitapita kukumbusha enzi
Muulize Kwanini aliondoka Redio one stereo ? We miss his vocal and good music on redio station
Old is alywas gold
Mzee tumetofautiana sana mwe mimi nacheza sana ata barabaraniKatika ujana wangu.kucheza mziki kumenishinda kabisa.
Makonda akienda sehemu ku boogie hilo tu litanifanya nisikanyage.
Hachelewi kuja na wahubiri injili, katikati ya boogie waanze kuhubiri.
Nooooo kama umewahi kufika pale is all about music and to dance. Hakuna ubishoo ni kucheza tu kama zama zileAnaenda kuhesabu nani mwenye vijisent na hayupo kwenye anga zake. Si unajua story na heshima club ni kuhusu pesa na wenye pesa.
Wenye nazo beware!
Nooooo kama umewahi kufika pale is all about music and to dance. Hakuna ubishoo ni kucheza tu kama zama zile
Unajua kwniniDj dilinga the one and only nitapita kukumbusha enzi
Muulize Kwanini aliondoka Redio one stereo ? We miss his vocal and good music on redio station
Old is alywas gold