Makonda na lugha usizo zitalajia

Chum Chang

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
999
Reaction score
272
Nilikuwa kwenye daladala Ubungo Posta kuna mama mmoja mjamzito ana muomba konda
Yule mama alisikika..Gari limejaa ondoeni gari joto limezidi
Konda..inayo jaa chupa ya bia mama wala sio gari alafu kama kuna joto nenda kapande friji likupeleke unakokwenda
Yule mama akasema..Ahsante kwa majibu yako
Konda akasema majipu vipele....
Makonda na wenye lugha chafu jaribuni kuwa na staha kwa unaemjua na usie mjua(Wengine mpo umu JF)msg send
 
Hebu punguza povu ndipo u post hapa.
 


Mkuu ulikuwa na miasila nini?usijali umeeleweka
 
 

Yaelekea umekasirika kinoma mkuu, full mapovu. Tazama hizo red, hazitufai kwenye jukwaa la lugha. Na heading yako waombe mods waichakachue isomeke ZITARAJIA na ZITALAJIA. Grammar mkuu, usiwe kama konda
 
Lugha si yangu je nyinyi wenye lugha yenu huwa hamkosei?
 
Nafurahi tunaposahihishana, lakini tuangalie makosa mengine ni "spelling" mengine "grammer" na mangine ni kwa vile tu mwandishi imebofya "key" ya jirani na ""aliyotaka kubofya. Huyu mwenye kosa la kubofya hakuna haja ya kumsahihisha hawa wengine ni muhimu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…