Makonda: Naijua hali anayopitia Tundu Lissu, sio hali nzuri kabisa

Makonda: Naijua hali anayopitia Tundu Lissu, sio hali nzuri kabisa

BabaMia

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2024
Posts
270
Reaction score
554
“Naijua hali anayoipitia Tundu Lissu kwenye chama chake cha CHADEMA, sio hali nzuri kabisa, anapambana namna ya kujishikiza mahali na sehemu pekee ya kujishikiza ni kwa makonda.

Jambo alilosema Tundu Lissu halina ukweli hata kidogo, tukirudi nyuma wakati tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi mimi nilikuwa Dar Es Salaam kwenye uwanja wa mnazi mmoja na nilikuwa na kampeni ya matibabu bure, sikuwepo eneo la tukio"

mkuu wa mkoa wa Arusha akijibu swali kuhusu taarifa za kuwekewa sumu hivi karibuni✍️

#RipotiYaMiezi6YaRCMakonda
1731849926019.jpg
 
Afadhali angeamua kuupiga ukimya, angalau ingalipunguza maneno. Sasa kila lililofichwa litawekwa wazi na hadharani.

Hajijui kuwa ana mahasimu wengi sana ndani na nje ya chama chake. Akae mkao wa kula ili apate kile kinachomstahili kutokana na matendo yake ya kifedhuli na kidhalimu.
 
Toka siku ile alilaanika
HAKIKA ana LAANA , sasa Badala ya kutubu na kumwomba radhi Mzee Warioba akiwa hai,

Yeye anaenda Kwa Maparoko wamwombee!!

Tangu lini LAANA ya wazazi ikaondoka Kwa njia hiyo🤔
 
“Naijua hali anayoipitia Tundu Lissu kwenye chama chake cha CHADEMA, sio hali nzuri kabisa, anapambana namna ya kujishikiza mahali na sehemu pekee ya kujishikiza ni kwa makonda. Jambo alilosema Tundu Lissu halina ukweli hata kidogo, tukirudi nyuma wakati tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi mimi nilikuwa Dar Es Salaam kwenye uwanja wa mnazi mmoja na nilikuwa na kampeni ya matibabu bure, sikuwepo eneo la tukio”___mkuu wa mkoa wa Arusha akijibu swali kuhusu taarifa za kuwekewa sumu hivi karibuni✍️

#RipotiYaMiezi6YaRCMakonda
Konda boy akiwa mwenezi amelalamika chini chini eti kazi ngumu za ukatili kama kuvunja mkutano wa katiba, kumuua lisu anapewaga yeye alafu akina bashe wanafaidi matunda ya udhalimu wa chama chao
 
Afadhali angeamua kuupiga ukimya, angalau ingalipunguza maneno. Sasa kila lililofichwa litawekwa wazi na hadharani.

Hajijui kuwa ana mahasimu wengi sana ndani na nje ya chama chake. Akae mkao wa kula ili apate kile kinachomstahili kutokana na matendo yake ya kifedhuli na kidhalimu.
mmepanga kumfanya nini?
 
Back
Top Bottom