Toka siku ile alilaanikaKwamba tuchague kumwamini kijana aliyempiga Mzee Warioba Badala ya Lissu?
HAKIKA ana LAANA , sasa Badala ya kutubu na kumwomba radhi Mzee Warioba akiwa hai,Toka siku ile alilaanika
Konda boy akiwa mwenezi amelalamika chini chini eti kazi ngumu za ukatili kama kuvunja mkutano wa katiba, kumuua lisu anapewaga yeye alafu akina bashe wanafaidi matunda ya udhalimu wa chama chao“Naijua hali anayoipitia Tundu Lissu kwenye chama chake cha CHADEMA, sio hali nzuri kabisa, anapambana namna ya kujishikiza mahali na sehemu pekee ya kujishikiza ni kwa makonda. Jambo alilosema Tundu Lissu halina ukweli hata kidogo, tukirudi nyuma wakati tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi mimi nilikuwa Dar Es Salaam kwenye uwanja wa mnazi mmoja na nilikuwa na kampeni ya matibabu bure, sikuwepo eneo la tukio”___mkuu wa mkoa wa Arusha akijibu swali kuhusu taarifa za kuwekewa sumu hivi karibuni✍️
#RipotiYaMiezi6YaRCMakonda
mmepanga kumfanya nini?Afadhali angeamua kuupiga ukimya, angalau ingalipunguza maneno. Sasa kila lililofichwa litawekwa wazi na hadharani.
Hajijui kuwa ana mahasimu wengi sana ndani na nje ya chama chake. Akae mkao wa kula ili apate kile kinachomstahili kutokana na matendo yake ya kifedhuli na kidhalimu.