The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Ameenda kwenye ufunguzi wa World cup ambao umefanyika Mexico,sasa aende US kufanya nini?Ataishia Mexico US hakanyagi.
Timu ndio zinawakilisha nchi, sio Waziri.Ameenda Mexico kama waziri wa michezo kuiwakilisha nchi,sio kila kitu kinahitaji kuingiza hizo siasa zenu za chuki
Huyu baba mwacheni ale maisha kwa huu ni wakati wake alishapitia majaribu makubwa sana.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ni miongoni mwa waliohudhuria ufunguzi wa Fainali za Kombe la Dunia.
Uzinduzi huo umefanyika katika Uwanja wa Azteca uliopo Mexico City, Mexico.
Soma Pia: Full Time: Ufunguzi Kombe la Dunia 2026 | Mexico 2-0 Afrika Kusini | Uwanja: Estadio Azteca | Mexico City
Makonda ameonekana akiwa anacheza wakati wasanii wakitumbuiza kwenye tukio hilo ambalo limefuatiwa na mechi baina ya wenyeji Mexico na Afrika Kusini.
Bajeti ya safari za nje inafanya kaziWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ni miongoni mwa waliohudhuria ufunguzi wa Fainali za Kombe la Dunia.
Uzinduzi huo umefanyika katika Uwanja wa Azteca uliopo Mexico City, Mexico.
Soma Pia: Full Time: Ufunguzi Kombe la Dunia 2026 | Mexico 2-0 Afrika Kusini | Uwanja: Estadio Azteca | Mexico City
Makonda ameonekana akiwa anacheza wakati wasanii wakitumbuiza kwenye tukio hilo ambalo limefuatiwa na mechi baina ya wenyeji Mexico na Afrika Kusini.
Yupe mexico sio america, huko hawezi ku crossState wakamate Ng'ombe hiyo.
Tunamsubiri kwa hamu hapa MarekaniWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ni miongoni mwa waliohudhuria ufunguzi wa Fainali za Kombe la Dunia.
Uzinduzi huo umefanyika katika Uwanja wa Azteca uliopo Mexico City, Mexico.
Soma Pia: Full Time: Ufunguzi Kombe la Dunia 2026 | Mexico 2-0 Afrika Kusini | Uwanja: Estadio Azteca | Mexico City
Makonda ameonekana akiwa anacheza wakati wasanii wakitumbuiza kwenye tukio hilo ambalo limefuatiwa na mechi baina ya wenyeji Mexico na Afrika Kusini.
Ili wakamfilimbe?Ila haridhiki hapo, yeye nia yake ni 🇺🇸.
Kwa hiyo kuna kipindi uliwahi kuamini duniani kuna haki?Masikini Tundu Lissu,
Kweli duniani hakuna haki.
Utaelewa tuSijakuelewa
Majaribu gani? Kuua watu? Kupora mali na fedha za watu ndiyo majaribu? Au kumpiga risasi Lissu?Huyu baba mwacheni ale maisha kwa huu ni wakati wake alishapitia majaribu makubwa sana.
Matumizi mabaya ya kodi ya watanzania bila shaka kwa kisingizio cha ziara ya mafunzo!! Wadau tuungane kukemea ubadhirifu huu! Bila shaka hakwenda peke yake bali kuna jopo kabisa!! Mwenye ufahamu mkubwa kuhusu hili tafadhali tujuze!Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ni miongoni mwa waliohudhuria ufunguzi wa Fainali za Kombe la Dunia.
Uzinduzi huo umefanyika katika Uwanja wa Azteca uliopo Mexico City, Mexico.
Soma Pia: Full Time: Ufunguzi Kombe la Dunia 2026 | Mexico 2-0 Afrika Kusini | Uwanja: Estadio Azteca | Mexico City
Makonda ameonekana akiwa anacheza wakati wasanii wakitumbuiza kwenye tukio hilo ambalo limefuatiwa na mechi baina ya wenyeji Mexico na Afrika Kusini.
Na wewe ndio wale wale tu,Unapenda sana neno ushoga/mashoga.Unajionesha unavyohusudu kufukuliwa mtaro wako.Acha tabia za kishoga utakufa domo wazi wewe!
Anatumia pesa zetu wavuja jasho au za kwake binafsi?Huyu baba mwacheni ale maisha kwa huu ni wakati wake alishapitia majaribu makubwa sana.
Hapo ni kodi zetu zimetumika!! Kisingizio ni ziara ya mafunzo!!Anatumia pesa zetu wavuja jasho au za kwake binafsi?