Makonda ndani ya ufunguzi kombe la dunia Mexico

Hizi hela wangesaidia kupunguza hata bei ya mafuta basi wananchi wapate nafuu ya maisha.
 
Anatumia pesa zetu wavuja jasho au za kwake binafsi?
Za wavuja jasho ndo nzuri kwa sababu anafanya kazi na analipwa kwa malipo halali ya pesa za Tanzania
 
Aje hapa USA na msichokijua ule utekaji na maujinga yake aliyafanya Kwa raia wa Tanzania angemfanyia mmarekani ndani ya Tanzania kama alivyomfanyia lissu basi CIA wangemnyakua hapo hapo mehiko kama walivyomnyakua Maduro.
Dogo ulishaenda kuzuru white house. Usisahau kunitag utakapo tutupia mapicha.
 
Huyo muuaji hapo tu ndio mwisho wake. Baradhuli mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…