Ni kama vile watetezi wa Paul Makonda kwenda Misri "Kuhamasisha" Taifa Stars wanataka kusema ama kuonesha kwamba ni yeye ndiye aliyesababisha Stars kufuzu kushiriki mashindano hayo baada ya miaka 39 kupita.
Hii hoja ina uzito ama ukweli wowote. Yaani bila ya Makonda kuwa mhamasisha wa timu hiyo dakika za mwisho mwisho leo Stars Isingekuwa iko Misri Mashindanoni?