The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Hii ni moja ya kauli Tata sana aliyoitoa kijana huyu mzee Mengi alikuwa na mke unaingiaje chumbani kwake .
Mi sijawahi hata ingia chumba Cha baba zangu wakubwa na wadogo tukiacha Cha baba na mama yangu ambacho sikijui kabisaa.kauli zingine tata:
1.Sijawahi ona mchaga akitoa hell kusaidia mlemavu
2.mengi aliahidi kiwanda Cha kutoa ajira kwa walemavu Cha bil 2 ,na anahakikisha atatokea wa kusaidia ,huyu kijana anataka awasumbue kina Regina ,AHADI ZA BABA YAO AMBAZO HAKUTIMIZA YEYE HAZIWAHUSU MALI SASA NI ZAO NA ZITATUMIKIA MATAKWA YAO NA SI YA BABA TENA ,Huku ni kuvizia Mali
NITOE RAI
Familia ikae mbali na wanasiasa kwanza Nani asie jua kisiri jamaa alikuwa mpinzani na alisapport sana move za lowassa ,Mengi alikuwa Kama bahressa anawachekea wanasiasa kimaslahi tuu