Makonda: Taifa Stars ni mali ya CCM

Makonda: Taifa Stars ni mali ya CCM

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Nimesikia kauli hii ikitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, kuwa timu ya taifa Taifa Stars ni mali ya Chama cha mapinduzi na kuwa Taifa Stars ikishinda imeshinda CCM. Kauli hizi ni moja ya kauli za hovyo ambazo haziwezi kutolewa na kiongozi mwenye busara anayejua maana ya mpira ni nini.

Kwanza inaondoa umoja na mshikamano kwa wapenzi, mashabiki na wachezaji wenyewe, badala ya michezo kutumika kama njia ya kuliunganisha taifa kauli hizi zinaendeleza mpasuko.

Nawashauri viongozi hasa wa kisiasa wajitahidi kutoingiza siasa kwenye michezo, michezo ni burudani, michezo ni furaha unapoleta siasa kwenye michezo unaharibu maana halisi ya michezo.

Mwisho kabisa napenda Makonda ajue kuwa Taifa Stars ni timu ya watanzania wote wakiwepo wasio na vyama.

Poleni watanzania kwa kufungwa 3-2 na majirani zetu Kenya, next time tutajitahidi nasi tushinde.

FB_IMG_1561260307379.jpg
 
Nimesikia kauli hii ikitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, kuwa timu ya taifa Taifa Stars ni mali ya Chama cha mapinduzi. Kauli hii ni moja ya kauli za hovyo ambayo haiwezi kutolewa na kiongozi anayejua maana ya soka.

Kwanza inaondoa umoja na mshikamano kwa wapenzi, mashabiki na wachezaji wenyewe. Badala ya michezo kutumika kama njia ya kuliunganisha taifa kauli hizi zinaendeleza mpasuko.

Nawashauri viongozi hasa wa kisiasa wajitahidi kutoingiza siasa kwenye michezo, michezo ni burudani, michezo ni furaha unapoleta siasa kwenye michezo unaharibu maana halisi ya michezo.

Mwisho kabisa napenda Makonda ajue kuwa Taifa Stars ni timu ya watanzania wote wakiwepo wasio na chama.

Poleni watanzania kwa kufungwa 3-2 na majirani zetu Kenya, next time tutajitahidi nasi tushinde.
Hawa mbuzi jike hata uwahubirie kwa vipaza sauti hawawezi kuelewa. You speak out just for the record.
 
Kama kweli timu ya taifa ni ya serekali na na ccm basi ngoja wasio wana ccm na watumishi wa serikali tuchague kuishangilia Kenya au kukaa kimya. Mimi nilichagua kukaa kimya. Sasa hiki kipigo cha 3 kwa 2 Mkuu wa mkoa Dsm jitafakari matamski yako hayana baraka za Mungu.
 
Harambee Stars 3 ccm stars timu ya wahuni na wasiojulikana 2

Nimesikia kauli hii ikitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, kuwa timu ya taifa Taifa Stars ni mali ya Chama cha mapinduzi na kuwa Taifa Stars ikishinda imeshinda CCM. Kauli hizi ni moja ya kauli za hovyo ambazo haziwezi kutolewa na kiongozi mwenye busara anayejua maana ya mpira ni nini.

Kwanza inaondoa umoja na mshikamano kwa wapenzi, mashabiki na wachezaji wenyewe, badala ya michezo kutumika kama njia ya kuliunganisha taifa kauli hizi zinaendeleza mpasuko.

Nawashauri viongozi hasa wa kisiasa wajitahidi kutoingiza siasa kwenye michezo, michezo ni burudani, michezo ni furaha unapoleta siasa kwenye michezo unaharibu maana halisi ya michezo.

Mwisho kabisa napenda Makonda ajue kuwa Taifa Stars ni timu ya watanzania wote wakiwepo wasio na vyama.

Poleni watanzania kwa kufungwa 3-2 na majirani zetu Kenya, next time tutajitahidi nasi tushinde.
 
Piga hao ccm stars Manina

View attachment 1140639
 
Nasi ikiwa ndivyo hivyo tutawaachia waendelee na vipigo vyao huku wakiendelea kuomba waombewe hadi pale watakapotofautish timu ya taifa na upuuzi
 
Huu sasa umekuwa ni upumbavu. Hawa ni viongozi?

Sasa inabidi tujiulize waTanzania wenzangu, mafanikio yetu ni katika nyanja zipi?

Seriously, huu ni wakati wa kuacha majigambo na tukubali kwamba tunahitaji mwanzo mpya.
Ni wapi tunapoweza kusema tupo sawa: Michezo hatumo kabisa; elimu yetu ndiyo hiyo inazidi kudidimia, wala hatujiulizi chochote, tunajiendea tu huku maneno mengi tukiyauza. Vyuo vikuu vyetu vinazidi kuwa 'majalala', sisi ni kama hayo hayatuhusu, kwa sababu tunayo CCM!

Ni tafiti zipi nchi yetu inaweza kujigamba kuwa tupo vizuri. Niambie, ni eneo lipi tuna nafuu? Kilimo? Hiki cha kubahatisha, tena sehemu kubwa ikiwa ni masalia ya "Kilimo Kwanza"?

Utalii? kumefanyika juhudi zipi za ziada na zile za zamani! Utamaduni wetu...? Kuheshimiana na kuwa na umoja wa kitaifa? Ni kipi tunakifanya vizuri kuliko wengine hata tujione sisi tunafanya bora zaidi ya wenzetu.

Biashara? niambie ni kipi tunachoweza kusema kinatutofautisha na majirani zetu katika nyanja hii!

Basi ngoja nimalizie kwa kutaja tulipofanikiwa zaidi ya wengine wote barani Afrika. CCM, CCM; CCM... inayotupa viongozi wawili kama hao hapo juu. Haya ndio mafanikio yetu makubwa tunayopaswa kujivunia waTanzania.

Na kwa hakika, ni lugha yetu pekee ya Kiswahili ndiyo tunapaswa kujivunia kwa hakika sasa hivi.

Inabidi kujiuliza; hawa watu ni waTanzania kweli?
 
Back
Top Bottom