matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Wafanye kama Idd amin, kwenye tipa, then RIPNimeshangaa hbr clouds TV kuwa ombaomba wameshindikana kuondolewa dsm.
Mtaa wa Libya mwandishi anaonyesha wamama, wabibi na wazee wamejaa kwenye mavaranda wamepumzika usiku baada ya kazi nzito ya kupambana na hali zao kwa njia ya kutuomba pesa (kazi ya kuomba pesa)
Pia watoto kibao wamezagaa utadhani kuna chekechea ya kata mitaa hiyo.
Mkuu
Shindwa madawa
Shindwa usafi
Shindwa viwanda
Shindwa elimu
Shindwa kuonyesha resatislipu
Shindwa kupeleka yard za magari kigamboni
Ila hawa jamaa kuwarudisha dodoma (wengi wamesema wanatokea huko hasa bahi ) nakushauri utumie mbinu za mtaka RC kukimbiza mwizi kimyakimya sisi wapitanjia tufaidi matokeo tu hata tusipokuona na kukukusikia tutajua ni wewe maana tulikusikia uliposema hutaki kuwaona jijini kwako.
Bola umelitambua kuwa busara inahitajika sio majigambo utadhani anaomba kuraOmbaomba sio wa kuwaondoa kirahisi hivyo ni kazi ngumu sana na zinahitajika busara za hali ya juu kwani nao ni binadamu
Alivyokuja Barack Obama Ombaomba walipotea mitaaniMkuu, suala la omba omba ni tatizo kubwa kuliko wengi tunavyolichukulia.. Utatuzi wake hauhitaji kukurupuka.. Alikuja Makamba Senior hapa akamrudisha mpaka marehemu Matonya kwao Dodoma, bt mwisho wa siku omba omba wakarudi..
ijini kwake"
Unaweza kuwaondoa kwa siku moja, a week, etc.. But bila ya mikakati maalumu huwezi kuwaondoa omba omba wote mitaani permanently..Alivyokuja Barack Obama Ombaomba walipotea mitaani