Makonda wa kike kiboko ya wanaume?

Makonda wa kike kiboko ya wanaume?

Mkwakwasu

Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
46
Reaction score
11
WanaJF nipeni majibu wapendwa. Siku zote wanaume ni wabishi kwa makonda.lakini juzi nilipanda gari fulani konda alikuwa msichana.Basi wanaume walikuwa watiifu kama vile wanapokea sakramenti kwa padri.Whyyyyyyy?
 
Inawezekana kabisa kuwa wewe ni mtu wa kwanza kunichekesha katika siku ya leo.Na ninaomba niwe mtu wa kwanza kukupa thanks.
 
Haha kweli hiki kichekesho, yawezekana huyo dada na yy alijiheshimu, kwa hiyo wakalazimika kumheshimu pia.
 
sio wapole kwa makonda tu ni kwa wanawake wote. achana na kwenye daladala hata ukiwakuta bar wakiwa wameshalewa pombe zao lakini huwa wanawaheshimu barmaids vibaya mno. kwa wake zao ndiyo usiseme kabisa.
 
Kwani ulikuwa hujuwi kiboko ya wanaume ni nani?

Makonda wa kike, unanikumbusha enzi zetu za DMT na baada ya hapo UDA.
 
sio wapole kwa makonda tu ni kwa wanawake wote. achana na kwenye daladala hata ukiwakuta bar wakiwa wameshalewa pombe zao lakini huwa wanawaheshimu barmaids vibaya mno. kwa wake zao ndiyo usiseme kabisa.

Mkuu unahudhuriaga bar kweli ??
 
Makonda wa kike wanajiheshimu, nadhani ndio maana kunakuwa na upole tofauti na makonda wa kiume ambao ni wakorofi!!
 
Thread mbili majukwaa tofauti maana yake?? MMU ipo hii kha!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom