Makonda yupo sahihi kuwahenyesha maboss wilayani

Makonda yupo sahihi kuwahenyesha maboss wilayani

Statistics

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
3,666
Reaction score
7,788
Kama ulishaenda kuomba huduma yoyote kwenye ofisi za umma hasa ardhi, tanesco, maji nk utamuunga mkono mtumishi wa Mungu Daudi anavyowakerembesha ili watie adabu.

Kama wewe ni mtumishi wa umma Ngazi ya chini utamuunga mkono kijana wa Mzee Albert Kwa utume wake huko chugastan.

Wakuu wa taasisi, vitengo na division ni miunguwatu Kwa manamba wao, hawawasikilizi watumwa wao kabisa.

Mimi kama Mkazi wa call me j namfanyia matambiko Nsumbantare na kumtaka 2025 aje Misungwi achukue kiti Cha Mzee wa gwambina na akapewe uwaziri wa utumishi muone moto atakaowawashia watendaji wabovu.

Kamatia hapo Dau
 
Bashite apandishwe cheo. Naibu Makamu Mkuu wa Rais - Miundombinu
 
Kama ulishaenda kuomba huduma yoyote kwenye ofisi za umma hasa ardhi, tanesco, maji nk utamuunga mkono mtumishi wa Mungu Daudi anavyowakerembesha ili watie adabu.

Kama wewe ni mtumishi wa umma Ngazi ya chini utamuunga mkono kijana wa Mzee Albert Kwa utume wake huko chugastan.

Wakuu wa taasisi, vitengo na division ni miunguwatu Kwa manamba wao, hawawasikilizi watumwa wao kabisa.

Mimi kama Mkazi wa call me j namfanyia matambiko Nsumbantare na kumtaka 2025 aje Misungwi achukue kiti Cha Mzee wa gwambina na akapewe uwaziri wa utumishi muone moto atakaowawashia watendaji wabovu.

Kamatia hapo Dau
Ni ujinga wa hali ya juu na ukosefu mkubwa wa kutafakari mambo kutegemea matatizo ya nchi yataisha kwa mahojiano ya kudhalilisha. Hivi mtumisha wa umma hata angetukanwa na kudhalilishwa kwa hali zote, jamii itafaidika na nini? Kwa nini kusiwe na utaratibu wa kuhakikisha kila mtumishi anatimiza wajibu wake na wale ambao ni vichwa ngumu wanaondolewa? Ni lazima ujuwe kuwa udhalilishaji kama huu unafanya hao watumishi wazidi kuwa jeuri na kuunda ushirika wa kulindana. Mtu mmoja ataweza ku deal na watumishi wote?
 
Muda mwingine watumishi wa Halmashauri wana kera sana... Enewei ngoja tuone kesi itaishaje
Watanzania mtaendelea kupata kero mpaka siku akili zitakapowakaa vizuri na kujuwa kuwa nchi haingozwi kwa mahojiano ya ''TV online''
 
Watoa comments wengi hawatafakari mambo kwa kina.Hivi tumejiuliza hyo miradi inaposhindwa kukamilika kwa wakati inamadhara gani kwa wananchi tuseme labda ni mradi wa ujenzi wa zahanati unapoacha kukamilika kwa wakati kuna watu wanapoteza maisha!..
Sasa basi hatuwez kuchekeana kwenye vitu serious kama hivyo,eti udhalilishaji!!
Unapofanya ujinga tegemea reaction inayolingana na ujinga ulioufanya,ule pesa za umma halafu utegemee RESPECT kweli!???You guyz aren't serious.
Aisee Makonda popote ulipo gonga zaidi kwenye vichwa vyao mpaka waamke
 
Wametumwa kumtetea.
Kiongozi hauwezi kuongea maneno mabovu kama yale.
Na habari za uzuri wa mkewe nani kamuuliza?
Tafsiri yake ni nini kwa kumwambia yule dada?
Kwani kwani pale yalikuwa yanaongelewa naneno yakutongozana ?
Makonda aache udhalilishaji
 
Back
Top Bottom