Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
Sawa mkuu, bashite atawaia adabu Hadi muifahamu miongizo vzr.Huna akili wala busara.Mtumishi akikupokea bila bashasha ndiyo umdhalilishe mbele ya umma?Upuuzi.
Huo siyo uongozi.Ni unyampala.Bashite ni dizaini fulani ya jambazi anayevaa miwani.A bandit!Sawa mkuu, bashite atawaia adabu Hadi muifahamu miongizo vzr.
Ni ujinga wa hali ya juu na ukosefu mkubwa wa kutafakari mambo kutegemea matatizo ya nchi yataisha kwa mahojiano ya kudhalilisha. Hivi mtumisha wa umma hata angetukanwa na kudhalilishwa kwa hali zote, jamii itafaidika na nini? Kwa nini kusiwe na utaratibu wa kuhakikisha kila mtumishi anatimiza wajibu wake na wale ambao ni vichwa ngumu wanaondolewa? Ni lazima ujuwe kuwa udhalilishaji kama huu unafanya hao watumishi wazidi kuwa jeuri na kuunda ushirika wa kulindana. Mtu mmoja ataweza ku deal na watumishi wote?Kama ulishaenda kuomba huduma yoyote kwenye ofisi za umma hasa ardhi, tanesco, maji nk utamuunga mkono mtumishi wa Mungu Daudi anavyowakerembesha ili watie adabu.
Kama wewe ni mtumishi wa umma Ngazi ya chini utamuunga mkono kijana wa Mzee Albert Kwa utume wake huko chugastan.
Wakuu wa taasisi, vitengo na division ni miunguwatu Kwa manamba wao, hawawasikilizi watumwa wao kabisa.
Mimi kama Mkazi wa call me j namfanyia matambiko Nsumbantare na kumtaka 2025 aje Misungwi achukue kiti Cha Mzee wa gwambina na akapewe uwaziri wa utumishi muone moto atakaowawashia watendaji wabovu.
Kamatia hapo Dau
Watanzania mtaendelea kupata kero mpaka siku akili zitakapowakaa vizuri na kujuwa kuwa nchi haingozwi kwa mahojiano ya ''TV online''Muda mwingine watumishi wa Halmashauri wana kera sana... Enewei ngoja tuone kesi itaishaje
Atawatiaje adabu? Kwa hizo drama au?Sawa mkuu, bashite atawaia adabu Hadi muifahamu miongizo vzr.
Nini kifanyike sasa?Watanzania mtaendelea kupata kero mpaka siku akili zitakapowakaa vizuri na kujuwa kuwa nchi haingozwi kwa mahojiano ya ''TV online''