Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Hii ni kwa kinadada wote...ukiona kuanzia j.3 ya terehe 9 mumeo au boyfriend wako au mchumba wako yuko busy na simu na hajatulia kiakili, jua kabisa *kuna mwanamke ameshafika ofis za Makonda kudai matunzo ya mtoto* [emoji2][emoji2][emoji2]