Makongamano hayawezi kutupatia katiba mpya. Kama taifa tunalohitaji katiba mpya tufanye nini ili tufanikiwe?

Makongamano hayawezi kutupatia katiba mpya. Kama taifa tunalohitaji katiba mpya tufanye nini ili tufanikiwe?

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,734
Reaction score
5,750
Ni wazi kuwa kama taifa la Tanzania tunahitaji katiba mpya tofauti na ile ya mwaka 1977.

Hii ni kwa sababu Tanzania ya mwaka 1977 sio kama ya leo.

Leo hii watanzania wanajua haki zao. Wanajua umuhimu wa kuwa na haki za kudai haki zao kwa kila namna.

Katiba ya Mwaka 1977 haijawapa hizo haki.

Sasa je, kama taifa linalohitaji katiba mpya tufanye nini ili tupate katiba mpya?

Ukweli ni kuwa makongamano sio suruhu.
 
Back
Top Bottom