Michael Mwakyusa
JF-Expert Member
- Mar 18, 2012
- 306
- 55
Natoa pongezi kwa shule ya sekondari makongo imetoa wengi kimichezo na kitaaluma,hawa wamesoma makongo.kaseja, pawasa,kalala junior,bambo,marehemu chifupa ,jose mara,nk.jamani makongo mbona siisikii tena?.nawakilisha wana jf.