Makongo High School...!!!

dah wana me nakumbuka mengi,kwanza niliwai kua assistant headboy,nakumbuka machata ya akina pap2 na kirukuu ebwana hawajamaa walikua noma
 
Kipindi kile sunset beach ndo inashika chat.....lazima niichek ndo nilale basi monie lazima nichelewe yani....basi hapo nitakutana na kichura, na kufyeka kwa kwenda mbele yani...mpk mikono ikawa sugu balaa......daa i miss makongo...siku moja hatukufanya assignment ya mrs.maguo daa tulijutaje. Tulipewa mazoezi ya kijeshi tulikuwa kama wavulana 20 yani nusu ya darasa..tulipigwa jiramba hilo na master..yani hadi miguu ilikuwa mizito kusogea..kesho yake waliokuja class ni kama watano tu hv..wengine wote miili haisogei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…