Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Namshukuru Mungu wa rehema.Nawashukuru walimu wangu wa Shule ya Sekondari Makongoro High school wilayani Bunda kunipa maarifa niliyonayo hivi leo.
Hii shule ndiyo iliyonitengenezea nafasi niliyonayo katika Taifa langu ambayo si haba.Namuomba Mungu wa Mbinguni awalinde walimu wangu.Walimu wangu popote mlipo nitazidi kuwaombea!