TANZIA Makongoro Mahanga afariki dunia asubuhi ya leo Muhimbili

Maskini! Stress za ukata zimemuua... Apumzike kwa amani... Nitamkumbuka kwa mchango wake wa kutujengea Kalavati Segerea, kwenye ile bara bara inayoenda kwa mkuu wa majeshi kwenye mwaka 2015.
 
Uzuri ni kwamba amefariki akiwa tayari ameshatoka katika kile chama Cha kishetani CCM. RIP Dr. Makongoro
Ni heri ungeomba neema ya kutangulia ukiwa umeweka mambo yako sawa na Mungu mkuu aliyehai na sio vyama vyetu vya vumbi hivi.
 
Mungu mwenye huruma aijalie familia ya Makongoro Mahanga, Roho ya unyenyekevu, kuyapokea mapenzi ya Mungu. RIP Makongoro Mahanga
 
Uzuri ni kwamba amefariki akiwa tayari ameshatoka katika kile chama Cha kishetani CCM. RIP Dr. Makongoro
Si vizuri kuingiza mambo ya kichama katika matukio kama haya ambayo hayana chama. Utaishia kumfanya muumini wa CCM aanze kutoa matusi dhidi ya marehemu sababu tu alikuwa kwenye chama cha upinzani; jambo ambalo si sahihi. Tuwaache marehemu wapumzike kwa amani.
 
Waambie sisiemu waache matendo ya kishetani mfano Mangula amepatikana na SUMU mwilini
 
RIP Kamanda, familia na chama kimepata pigo kubwa sana.
 
R.I.P

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
 
R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…