TANZIA Makongoro Mahanga afariki dunia asubuhi ya leo Muhimbili

Mungu amrehemu apate pumziko jema

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Unajua nini maana ya Agano? Nini maana ya agano la kale?
Ndio lakini nafasi iko wazi kunielewesha zaidi kuhusu agano.
Na wewe wafahamu kuwa Mungu anatupenda wote hata wale tunaomkosea na alitoa msamaha kupitia mwanae aliyekufa msalabani? Na ni kwa kutubu kwake na kumkiri yeye kuwa bwana na mwokozi wetu?
 
R.I.P na fake PhD ya Washington international university.
Hii haikuwa necessary, ni marehemu hawezi jibu lolote. Ametangulia mbele ya haki, sote tunaelekea huko.
Kuna wakati busara na hekima vinatosha.Alikuwa ni mzee na baba na pengine babu wa watu fulani, apumzike kwa amani.
The records are clear. By the way unataka ku achieve nini?
 
Dah RIP KAMANDA vita umevipigana vyema Mwendo Umeumaliza Pumzika kwa amani tutayaenzi mazuri yako
 
Rest in peace Dr.
Rest in peace Milton you will be remembered for your professionalism
 
Uzuri ni kwamba amefariki akiwa tayari ameshatoka katika kile chama Cha kishetani CCM. RIP Dr. Makongoro
Unaingiza upuuzi na kupewa likes. Nini uhusiano wa kutoka CCM na kifo chake? Ndo hapo mukifananishwa na Corona munalaumu.
 
Tujaribu kuandika wasifu wetu kwa usahihi ili tusikosoe wakati kama huu. mwaka 1978 hadi 1980 IFM haikuwa inatoa shahada. Sasa yeye alipataje Shahada ya IFM?
 
Ulazwe unapostahili Mheshimiwa hayati naibu waziri Doctor Mahanga
 
I like this reply.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…