Pre GE2025 Makongoro Nyerere: Wanawake jitokezeni kugombea nafasi mbalimbali za uongozi

Pre GE2025 Makongoro Nyerere: Wanawake jitokezeni kugombea nafasi mbalimbali za uongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wanawake mkoani Katavi wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi Mkuu ikiwa ni moja ya kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa ili kuleta usawa katika suala la uongozi kwenye jamii.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Rai hiyo imetolewa na Kaimu Mkuu wa mkoa wa Katavi, Makongoro Nyerere ambae ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa katika maadhimisho ya siku ya mwanamke kwa ngazi ya mkoa.

 
Back
Top Bottom