Makosa 10 Yanayofanywa na BOLT (Taxify) na UBER Tanzania na World Wide.

nkema

Senior Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
172
Reaction score
143
1.Mfumo mzima wa GPS wa baadhi ya maeneo hasa ya ndani ndani hayaoneshi kwenye ramani ya kawaida amabayo inatumika kwa dereva sana hutumia sehemu maarufu na barabara kuu...HUU NI UZEMBE kwan ni zaidi ya mwaka App hizi zina run katika nchi zetu.

2.Ulipwaji wa Fedha za kadi/benki kwa wateja wa kielectronic Bado ni mbovu sana kwan dereva hupewa fedha kwa njia ya Mpesa,Tigo pesa pasipo kuwekewa hela ya kutolea.

3.Huduma kwa wateja Poor customer services hili pia ni tatzo ni lazima Huduma hii itolewe ndani ya masaa 24 kama ambavyo huduma hii inavyotolewa kwa madereva.Kwa sasa watakuambia uta tupa magbu kupitia App.

4.Swala la GPS errors ambalo linapelekea either dereva kulipwa hela ndogo au kubwa hapo ni mmoja ni lazima aumie either mteja au dereva na kati ya hawa atakae lalamika juu ya tukio hlo sana mteja atapewa promo code ili aweze kufanya safari zake bila pesa ila kwa dereva huwa ni maumivu makubwa.

5.Bonus zinazotolewa na makampuni haya Swali la kujiuliza ambalo magbu yake huwa ni utata muda wote...Zinatoka Wap?Hawa watu wananufaika vipi? Je serikali yetu inalitambua hili? na kama ndio Je inakusanya Mapato sawa? Kwa research ndogo nahisi kuna siri hapa inahitaji ufumbuzi...hilii tunakabidhi wahusika najua wapo humu na watalifanyia kazi.

6.Malalamiko makubwa juu ya watu waliopewa dhamana ya kusimamia sehemu husika wanatoa Je wanaweza kazi walizopewa? na kama hawawezi Malalamiko juu ya utoaji mbovu wa huduma madereva wana mueleza nani? Chombo gani cha serkali kinasimamia Hizi App? Kwa mfano kumekuwa na malalamiko juu ya Msimamizi wa Mwanza kuwa ana jibu madereva kama anavyotaka yeye na kuonesha jeuri,dharau na kashfa kwa watu (abiria na Madereva) kama wanavyowaita wao partners.

7.Upagwaji wa Nauli hizi zilizopo umewekwa kwa kufata misingi na taratbu gani na wakina nani wamezipitia na kujilidhisha kuwa zina maslah mapana ya dereva na mpokea huduma abiria?

8.Usalama baada ya tukio lolote amabalo si sahihi Je wapi mtu anaweza kupata msaada ni polisi au kwa watoa huduma wenyewe?

9.kumekuwa na uhaba wa taarifa juu ya upatikanaji wa huduma hii hapa namaanisha namna gani watu wana taarfa juu ya kupata huduma hii...

10.Naiacha wazi kila mtu aongeze maoni yake ili tukamilishe idadai
Asanteni sana.
 
Dr strive masiyiwa anasema, every problem you see is an opportunity, instead of keep blaming do something,be a game changer.

look everything at an entrepreneurial eye, not a consumer eye.

hapo umeona fursa nyingi sana na kubwa sana ila ni vile tu umetazama katika upande wa jicho la mlaji tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…