Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
MAKOSA/DHAMBI AMBAZO TUKIFANYA TUNATAKIWA TUUAWE ILI KUONDOA MAOVU KWENYE JAMII.
Anaandika, Robert Heriel
Tunalalamika Kwa nini dunia ya sasa maovu yameongezeka, matukio ya kikatili na unyama yameshamiri. lakini muda huohuo tunasahau kuwa mbinu namba moja ya kuondoa Uovu kwenye jamii yoyote ya mwanadamu Kwa baadhi ya makosa ni KUUA WAOVU HAO.
Yule Mungu mmoja ambaye anatajwa tajwa Maeneo mengine ndio alitupa Menu hiyo. Kwamba Kama mnataka kuondoa baadhi ya maovu hasa maovu makuu sharti muue.
soma;
Kumbukumbu la Torati 22:22
Akifumaniwa mtu mume amelala na mwanamke aliyeolewa na mume, na wafe wote wawili, mtu mume aliyelala na mwanamke, na yule mwanamke naye; ndivyo utakavyoondoa uovu katika Israeli.
Kumbukumbu la Torati 22:24
watoeni nje katika lango la mji ule, mkawapige kwa mawe hata wafe; yule kijana, kwa kuwa hakupiga ukelele, naye yu ndani ya mji; na yule mume, kwa kuwa amemtweza mke wa mwenzake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.
Nisiwachoshe, Yafuatayo ambayo ni makosa ambayo binadamu tukifanya tunatakiwa kuuawa kulingana na yeyote anayeamini katika Mungu mmoja.
1. KUUA MTU KWA MAKUSUDI.
Hakuna haki ya kuishi Kwa mtu aliyeitoa roho ya mtu mwingine.
Ni ushetani pekee ndio unaweza ruhusu Jambo Jambo Kwa maana Shetani ndiye muuaji Mkuu hivyo lazima atetee wauaji wenzake.
Kidini au kiroho muuaji anatakiwa auawe.
2. Kuzini na Mama au Baba yako, au Binti au kijana wako
Kidini Hilo ni kosa kubwa ambalo huleta laana kwenye ukoo na jamii.
Mungu mmoja anaamrisha watu hao wauawe.
Lakini kama binti/kijana kabakwa/kalawitiwa basi aliyembaka ndiye auawe. Lakini kama ni Kwa hiyari yake kumaanisha ni mtu mzima basi wote wauawe
3. Ushoga.
Kulala na Mwanaume Kama ulalavyo na mwanamke, au kulala na Mwanamke kama ulalavyo na Mwanaume. Huo ni ushoga na adhabu iliyoamrishwa na Mungu ni Kuuawa.
4. Kulala na Mnyama.
Mwanamke kulala na mnyama au mwanaume kulala na mnyama anatakiwa auawe kisha na huyo mnyama auawe.
Hiyo ndio hukumu yake.
5. Uchawi na ushirikina.
Kujiingiza katika Uchawi au ushirikina adhabu iliyoamrishwa na Mungu mmoja kulingana na maandiko ni kuuawa.
Hii adhabu huku Afrika ingepiga wengi mno😂😂 maana wengi kwenda Kwa waganga ni Kama uji Kwa mgonjwa.
6. Kujiita Mungu
Kitendo cha kujiita tuu Mungu kinatosha kufanya uuawe ili uthibitishe kuwa haufi. Kwa mujibu wa Biblia na Quran mtu anayejiita Mungu anakufuru na adhabu iliyoamrishwa ni kumuua.
Kifo ndio kitamthibitisha kuwa yeye ni Mungu na sio miujiza.
Yaani mtu akikuambia yeye ni Mungu wala usimwambie afanye miujiza Kwa ni Hilo ni Jambo la kawaida. Ila mwambie nataka nikuue alafu ukifufuka nitaamini wewe ni Mungu.
7. Kuzini na Mke au mume WA mtu.
Yaani kitendo cha kuzini na Mke WA Mtu kiroho unatambulika Kama maiti inayosubiriwa kuuawa kimwili.
Kisheria za Dini ni kosa limpasalo mtu kufa kulala na Mke au mume WA mtu.
Ndio maana sheria za Dini zinatoa fursa ya Talaka au fursa ya kuoa wake wengi Kama unataka kuuridhisha mwili wako.
Kama unataka ku-cheat unaruhusiwa kuomba talaka ili uolewe na huyo unayetaka kulala naye.
Lakini kufanya zinaa ndani ya ndoa ni kosa ambalo huyo Mungu unayemuamini ambaye ni mmoja ameamrishwa tuuawe ikiwa tutafanya makosa hayo.
Ni upagani na ukafiri kupingana na sheria za Mungu.
Talaka inaruhusiwa
Wake wengi wanaruhusiwa Kwa mujibu wa maandiko. Na wala sio sheria za taasisi za Kidini.
8. Kuzini na Mkwe wako.
Ni kosa likupasalo kuuawa yaani pasipo mjadala.
Sheria za Mungu unapozivunja hazimtambui Shetani Ila zinakutambua wewe Kama ndiye mhusika uliyefanya kosa.
Kamwe huwezi msingizia Shetani pindi ufanyapo kosa.
Ndio maana uliyefanya ni wewe, na atakaye hukumiwa na wewe.
Hata kwenye mahakama za kibinadamu.
Kufuta sheria na hukumu hizo ni matokeo ya Upagani na ukafiri kuingizwa katika mamlaka za kiutawala.
Wengi wa wafutaji wa sheria na hukumu hizo walikuwa ni wapagani au makafiri, ambao walitumia kisingizio cha Haki za Binadamu kumaanisha haki za mashetani.
Sheria za Mungu zinalinda UTU wa watu ambao wapo katikati ya Binadamu.
Wakati shetani sheria zake zimejikita kuuondoa UTU wa Mtu Kwa kujifanya anatetea haki za binadamu.
Yesu Kristo hakufuata sheria Kwa maana hata yeye alikuwa chini ya sheria na akafa chini ya sheria na akafululiwa Kwa sheria mpya ya NEEMA ambayo ilikuwa haipo.
Kimsingi Yesu alileta sheria mpya ya NEEMA, ambayo ni second chance kiroho sio kimwili.
Kumaanisha kimwili sheria za Mungu bado zipo vilevile.
Yesu alikuja kukomboa roho za watu wenye dhambi na wala hakuja kukomboa miili ya watu wenye dhambi. Hapo lazima watu watofautishe, mwili na Roho.
Mungu husamehe roho za watu walioomba toba ya Kweli.
Lakini kamwe hasamehi Mwili ambao lazima utumikie adhabu, Kwa maana mwili ndio unaofanya dhambi huku dhamiri ikiwa rohoni.
Ndio maana tunakufa Kwa adhabu ya kiasi sheria iliyowekwa pale Bustanini Edeni na kamwe Hilo halitoweza kubadilika Kwa sàbabu Mungu ndiye aliyesema na Kauli yake haibadiliki.
Paulo ndiye ameichambua Injili ambayo Wakristo wengi wamekuwa wakimtafsiri Kwa namna ya Kuruhusu ukafiri na upagani uingie katika Dini ya Ukristo.
Paulo na Yesu hawana uwezo na mamlaka ya kutengua maneno ya Mungu hata wangekuwa na Cheo namba mbili kwenye ufalme wa Mungu.
Heshima ya Yesu haipo kwenye kufufuka Bali IPO katika kutimiza Amri na maagizo ya Mungu, kutimiza Torati.
Tunamheshimu Yesu sio Kwa sababu alikufa Kwa ajili ya kuokoa roho zetu wenye dhambi Bali ni Kwa sababu alitimiza kusudi alilopewa na Mungu MKUU.
Damu ya Kristo ipo Kwa ajili ya kutuosha na kutukomboa Kiroho, ili tumuone Mungu. Lakini haimaanishi Ipo Kwa ajili ya Kuondoa maneno ya Mungu aliyokwisha kuyatoa Kama amri.
Yesu anaposema kuwa Mtu ajapomuamini hatakufa, ni Kwa sababu alishakomboa roho za waliomuamini, hivyo ujapokufa ukimuamini roho yako itakuwa hai katika Kristo na hautohukumiwa katika siku ya hukumu ingawaje Duniani mwili wako unaweza kuhukumiwa kama Yule mwivi aliyesulubishwa pale msalabani pamoja na Kristo.
Ufalme wa Mungu hauuji Kwa kuuchunguza Kwa mwili bali ufalme wa Mungu upo nafsini na Rohoni mama mtu anayemuamini Kristo ndio maana Mkristo anayemuamini Kristo na kushika sheria za Mungu hatokufa(roho yake haitokufa) Bali itaishi katika Kristo.
Ufalme wa Mungu ukiishi ndani ya mtu, automatically hawezi kuvunja sheria za Mungu, Kwa maana Kristo aishiye ndani ya mtu aliishinda dhambi(ambao ni uasi wa sheria) lakini sio aliondoa sheria.
Falsafa ya kiroho watu wengi hasa walioamua kuwafanya watu kuwa makafiri na wapagani(hapa namaanisha wasiotaka amri za Mungu au wanachagua kushika amri Fulani Fulani za Mungu huku zingine wakiziacha), watu hao wameipinga kwa makusudi na kudanganya watu wasio na Uelewa wowote wa mambo ya kiroho.
Haliwezekaniki mtu anayeitwa mcha Mungu au anayemjua Mungu kumkuta akitetea Waovu, haiwezekaniki na haijawahi kutokea.
Ukiona mtu anatetea wauaji, mashoga, wachawi, waasherati na makundi mengine ya kishetani Muweke kwenye kundi la watu wa kuonewa huruma.
Hata awe amesoma vipi jua huyo Hana Akili, hata awe anacheo kipi jua hana roho ya uongozi.
Mtu Kama hajui mambo ya kiroho au sheria ni Bora aulize afafanuliwe, lakini kujifanya mjuaji na hasira za kishetani hazitamsadia lolote.
Ni Yule Kuhani, kutoka Nyota ya Tibeli.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Nairobi Kenya