Dah kamari hata mimi inaenda kuniharibu weekend nacheza kasino kama kichaaHapo ashaweka bet yake ya buku anasubiri Amle mhindi mill 20 πππ
Mhmm pombe sio chai , nasoma comment zangu za nyuma natetemekaπππππ Angel Nylon Leejay49Hapo ashaweka bet yake ya buku anasubiri Amle mhindi mill 20 πππ
Jitahidi kuachana na hii Mbanga bro.Dah kamari hata mimi inaenda kuniharibu weekend nacheza kasino kama kichaa
Sure bro , kuna siku nilipiga kama dollars 1600 naona sasa inaelekea kurudi yoteπ€£π€£π€£Jitahidi kuachana na hii Mbanga bro.
Haiwez kupa hela kirahisi rahisi.
Utaumia sana .
Ina intellegent sana , haiko fair na by the end of the day, the house always win
Majibu yako tu humu jukwaani basi yanaonesha kama huwa unapendeza 24/7Hapana nina mda sijanywa ujueπ
Sio kweli, mda mwingine unapiga tu soga maisha yaendeπMajibu yako tu humu jukwaani basi yanaonesha kama huwa unapendeza 24/7