Makosa katika utumiaji wa Fedha

Uko vizuri sana
Hongera kwakufikiria haya maneno ya busara
 
Kwenye point ya 1, Je haturuhusiwi kukopa pesa bank ili uanzishe biashara??
 
Namba 1&8 sikubaliani nae. Kukopa na kutembea na Pesa nyingi ndio confidential yenyewe katika maisha
 
kuhusu namba moja nilivyo elewa ni kwamba bora kukopa ili uendeleze biashara iliyopo kuliko kuanzisha biashara mpya.
 
Watu wanapenda kuchangia kwenye kuhamasishana kufanya vurugu/maandamano badala ya kuchangia nyuzi makini kama hizi....we need to change seriously [emoji15]
 
asante kwa kutukumbusha.. shida ni baada ya mwezi tu point zote hizi nazisahau
 
La kizushi, sasa hapo uliposema nisimkopeshe rafiki bali nimuelekeze benki kwa kuogopa kuvunja urafiki wetu pale atakaposhindwa kulipa, sasa baadae kitakapomuwakia huko benki lawama tena si atarudisha kwangu na kifo cha urafiki wetu kitabaki palepale?
 
Pamoja sana kwa ushauri huu nkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…