Makosa kwenye vitabu vya shule zetu Elimu yetu inakwenda wapi? Mbatia yupo sahihi

Barca

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
1,448
Reaction score
1,624
hili ni kosa nililoliona wakati namfundisha mdogo wangu hesabu kitabu cha book two mathematics. published by Nyambali Nyangwine. Kuna mdau alisema vitabu hivi vifutwe alikuwa sahihi sana. Sasa kwa mwanafunzi ambaye hajui kujaji si ndo atagombana na mwalimu wake mpaka basi.
swali lenyewe ni hili hapa sasa wadau wa hesabu oneni makosa haya yatalighalimu taifa. yaha ndiyo yanayo changia kufeli na kushuka kwa elimu hapa nchini coz mwanafunzi akimeza hili anakuwa na uhakika amefaulu afu ndo matokeo yake ni haya.

swali hili ni mfano ukurasa wa 48
Example 2.11 : Factorize X[SUP]2[/SUP] - x/4-1/8

jibu lake alipata hivi = 1/8(2x-1)(4x+1)
ukitaka kuprove kuwa si jibu sahihi expand hii expression haitakuletea original expression
msinichoshe nisiwachoshe picha hii hapa mjionee wenyewe.
Nilipomwuliza mdogo wangu nimeambiwa makosa yapo mengi tu kwenye vitabu vya nyambali nyangwine, Msabila nk
 
Attachments

  • Photo0518.jpg
    Photo0518.jpg
    194.1 KB · Views: 69
  • Photo0520.jpg
    Photo0520.jpg
    223.1 KB · Views: 80
Samahani mi hapo sijaona kosa lolote, naona yupo sahihi. Embu prove kwamba amekosea, nikimaanisha uweke solution unayodhani ni sahihi zaidi.
 
hili ni kosa nililoliona wakati namfundisha mdogo wangu hesabu kitabu cha book two mathematics. published by Nyambali Nyangwine. Kuna mdau alisema vitabu hivi vifutwe alikuwa sahihi sana. Sasa kwa mwanafunzi ambaye hajui kujaji si ndo atagombana na mwalimu wake mpaka basi.
swali lenyewe ni hili hapa sasa wadau wa hesabu oneni makosa haya yatalighalimu taifa. yaha ndiyo yanayo changia kufeli na kushuka kwa elimu hapa nchini coz mwanafunzi akimeza hili anakuwa na uhakika amefaulu afu ndo matokeo yake ni haya.

swali hili ni mfano ukurasa wa 48
Example 2.11 : Factorize X[SUP]2[/SUP] - x/4-1/8

jibu lake alipata hivi = 1/8(2x-1)(4x+1)
ukitaka kuprove kuwa si jibu sahihi expand hii expression haitakuletea original expression
msinichoshe nisiwachoshe picha hii hapa mjionee wenyewe.
Nilipomwuliza mdogo wangu nimeambiwa makosa yapo mengi tu kwenye vitabu vya nyambali nyangwine, Msabila nk

huyu barca naye ama ni kilaza ama anamtangaza nyambari.

problem niionayo ni poor aproach iliyotumika maana haiwezi kumfumbua anayejifunza bila kuwa na mwalimu.
 
Back
Top Bottom