Barca
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,448
- 1,624
hili ni kosa nililoliona wakati namfundisha mdogo wangu hesabu kitabu cha book two mathematics. published by Nyambali Nyangwine. Kuna mdau alisema vitabu hivi vifutwe alikuwa sahihi sana. Sasa kwa mwanafunzi ambaye hajui kujaji si ndo atagombana na mwalimu wake mpaka basi.
swali lenyewe ni hili hapa sasa wadau wa hesabu oneni makosa haya yatalighalimu taifa. yaha ndiyo yanayo changia kufeli na kushuka kwa elimu hapa nchini coz mwanafunzi akimeza hili anakuwa na uhakika amefaulu afu ndo matokeo yake ni haya.
swali hili ni mfano ukurasa wa 48
Example 2.11 : Factorize X[SUP]2[/SUP] - x/4-1/8
jibu lake alipata hivi = 1/8(2x-1)(4x+1)
ukitaka kuprove kuwa si jibu sahihi expand hii expression haitakuletea original expression
msinichoshe nisiwachoshe picha hii hapa mjionee wenyewe.
Nilipomwuliza mdogo wangu nimeambiwa makosa yapo mengi tu kwenye vitabu vya nyambali nyangwine, Msabila nk