Patriotic and visionary
Member
- Oct 19, 2022
- 25
- 41
Wakuu,
Wakati anapewa kijiti toka kwa mtangulizi wake, alipewa maagizo mengi atekeleze. Yapo ya muhimu sana yalipaswa kutimizwa mwaka huu unaoisha lakini aliona yataharibu hatma ya muhula wa pili kwake.
1. Uandishi wa katiba Mpya ulipaswa kuanza mwaka huu lakini hakuna dalili yoyote hadi Sasa.
2. Deni la taifa linapaa kwa kasi wakati alitahadharishwa apunguze mikopo bali aboreshe namna ya ukusanyaji mapato nchini!
Zipo dalili za wazi zinaonyesha mwenendo wa uongozi wake kufanana na mwenendo wa moja ya awamu zilizopita ambazo nasaba za ubadhirifu, wizi na ufisadi zinashamiri.
Kuna mabadiliko hayana budi kutokea hivi karibuni.
Tuupe muda wakati.