Makosa niliyoyafanya nayojutia katika safari yangu ya Kielimu

Makosa niliyoyafanya nayojutia katika safari yangu ya Kielimu

Status
Not open for further replies.

Jorge WIP

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
3,567
Reaction score
5,323
Ntaeleza kwa ufupi kadri iwezekanavyo

Iko hivi...

nilikuwa straight A student yule kipanga toka primary mpaka secondary kinachoniuma nilikuwa napata hayo matokeo in expense of my social life...nilikuwa siendi club, sikuwa mtu wa mademu wala mambo mengi... kifupi mshahara nilioupata ni Div I ambayo nshaisahau imebaki kwenye karatasi

Nikaendelea na tabia hiyo High-school japo pale palihitaji kukaza ndio kweli

Chuon nkabadilika nkala maisha na nikagraduate with honours(kiukweli sijutii nlikula bata nkatumia pesa, nkanywa, mbususu kadhaa japo ilibid mbususu zizid) nna fun memories kibao & crazy ones

Najutia kuipoteza ile fun huko nyuma ningeanza kula maisha zaman na nna hakika ningefaulu pass mark za kuendelea, katika hayo sijawahi jutia mda wangu wa chuon maana niliutendea haki

Nachotaka kusema kwamba Ninyi wazazi msiwakomalie watoto wenu kusoma tu pekee, muwape na mda wa social life waenjoy utoto/ujana wao

If there is a slightly chance of going back sitoenda kukomalia chand’s ntaenda kula maisha asee
 
Binafsi ingekuwa tunarudisha siku nyuma.

Uchague moment gani uzirudie maishani.

Binafsi ningechagua form 5 na form 6 moments zirudiwe..nilikuwa teenage na kwenye mazingira ya ku enjoy u teenage ila najiona kama siku enjoy sana inavyotakiwa maana necta nayo nilikuwa nakomaa nifike udsm. O level was fun ila nilikuwa mtoto sana . High school ndio my choice

St marys high school mbezi beach boarding miaka hiyo ya zamani ilikuwa zaidi ya chuo kikuu. Life ya kings tower plus cute girls kibao. Cenema kila j mos plus talent shows concerts za kibabe kibao.. nazimiss sana.

Yaani chuo niliona kama hakuna fun kiukweli nikilinganisha na life ya high school.
 
Pole sana kijana.
Nakushauri sasa uanze kula vizuri, fanya mazowezi na upumzishe mwili wako.
Pia kua na mahusiano na mpenzi mmoja, mueleze hali yako na hakikisha unakula shudu daily...

Sawa Mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom