Makosa saba wafanyayo wasichana ambayo huwafanya wachelewe kuolewa !!!!


Mkaka wa kitanzania, ndoa ni zaidi ya mtoto, mama na bibi.
Usije ukaoa simply because unataka mtoto, au umri umeenda.

Maisha ni Amani na Furaha.

Afadhali kukaa kwenye pembe ya dari kuliko kuishi na mwanamke/mwanaume mgomvi. Mithal..........
 
Bomba sana, ila amesahau moja ...

Baadhi ya wasichana ukichukua namba yake ya simu leo, kesho yake anakuomba umtumie vocha ...

Mkuu, hapo umenena!! Tena ni kama takribani asilimia 75% ya wasichana wote
 
Si kweli mbona. Kuna wanawake wengi tu wametamani kuolewa na hawajafanya kosa lolote katika hayo na bado hawajaolewa. Acha story za kutunga.
 
Mkaka wa kitanzania, ndoa ni zaidi ya mtoto, mama na bibi.
Usije ukaoa simply because unataka mtoto, au umri umeenda.

Maisha ni Amani na Furaha.

Afadhali kukaa kwenye pembe ya dari kuliko kuishi na mwanamke/mwanaume mgomvi. Mithal..........


The Following User Says Thank You to LD For This Useful Post:

michelle (Today)​
 
Umesahau 1,wasichana wasasa wanasubiri
Wanatafuta wazee ,kwa udi na uvumba ,eti kuwa wazee lazima wanahela za mafao,na kuwakimbia vijana ,kwa sasa hii ndio ndoto yao kubwa.

Sasa vijana wenyewe nyie usumbufu tuuuu, kesho huyu, leo huyu, jana huyu.
Hunisaidii chochote, nikiuomba vocha unasema, nikiwa mchafu unasema, nisipovaa vizuri unasema.

Daaa ama kweli dunia ina mambo.


M
 

G8??!! Da nimeipenda nidadavulie inajumuisha kina nani?
 

Kwani kuoelewa ni kwa ajili ya kuzaa tu jamani? Si watashiriki na kufurahia mengine yaliyobaki. Kuzaa majaaliwa jamani so umri wa kuolewa tusiangalie tu uwezo wa kuzaa.
Acheni mtu achague apendacho,wanaume kibao wana 35 and above wamejaa mtaani hawajaoa na wamezaa kila kona lakini hawaongelewi.
Waacheni wadada na lifestyle yao,hamjui kwanini wanaishi hivyo. Sipingani na mtoa mada ila maoni mengine ni kushambulia zaidi.
 
Point taken!ur so right!tunajiconfuse sana kwmba ukiolewa basi ndo utakua happy,while tht is not necessary!wtvr priorty u thnk matters in yo lyf go for it,wheather marriage or wtsoever!na isiwe km lazima sanaaa apo ndo nnapoboreka eti ukifikisha umri flani basi lazm yoyote atakaejitokeza..that is insane!
 
Umesahau,
wengine wanajishughulisha sana na shule, kujitafutia maendeleo katika maisha yao binafsi na kusahau kuyapa mahusiano kipaumbele, wakija kushtuka muda umepita, wana miradi/kazi nzuri, pesa nyingi na wanaume wa umri unaofaa wanawaogopa.

That is absolutely true!absolutely!
 
Kama ningekuwa na uwezo wa kutoa phd ya heshima.
Ningemtunikia kaka nanii.
Yani umeongea kweli tupu.
Ambao hawajaolewa pitieni tena huu uzi.
 
Huu uzi umenikumbusha maneno ya vijana wa mtaani nilivyokuwa bado kabinti; "unajifanya cake wakati biscut ya muhogo"
Hapo kijana katolewa nje.
 

Michelle 78 (Sabaini na nane???) Nimeskitika sana Michelle... una-washauri wadada ivi...???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…