Makosa saba wafanyayo wasichana ambayo huwafanya wachelewe kuolewa !!!!

Hiyo si ndoa ni Doa.
 
dawa yao hawa wote ni kwa mwanaume husika kuwa muongo, aangalie upepo unakoendea ili amdanganye msichana mpaka ampate
 
34 miaka? Huyo si ndo munamuita mwanaume
suruali?
 
The Following Users Say Thank You to michelle For This Useful Post:
LD (Today),​
Umenifanya muda mwingi nitafute wapi iliko Thanks niigonge maana
Jukwaani imeondolewa!
 
@kipipi nakubaliana nawewe, mbona na wao hawaonyesh yanayowafanya wachelewe kuoa? Kila m2 anamipango yake c lazima mwenzako akiolewa na wewe uolew kwa kuiga, hapana jaman.
 
Sasa vijana wenyewe nyie usumbufu tuuuu, kesho huyu, leo huyu, jana huyu.
Hunisaidii chochote, nikiuomba vocha unasema, nikiwa mchafu unasema, nisipovaa vizuri unasema.

Daaa ama kweli dunia ina mambo.

M
Nani kakuambia kama hiyo mizee imetulia? We unafikiri kwanini mabinti wengi
sasa hivi wanatumia 'mzee' hata kwa kijana? wamezoea wazee ndio kiboko
kwa sababu pesa wanazo na ndo maana hata baa nyingi ukienda nyimbo zinazopigwa ni
za kizee.
 
we wa wapi, nieleze bana labda ni kijiji kimoja mi natoka kishumundu!
mimi sitokei huko yaani hamna mwanaume yeyote wa hcho kijiji hapa nilipo na nikiwaambia tuoane niwalete mjini hawataki
 
@kipipi nakubaliana nawewe, mbona na wao hawaonyesh yanayowafanya wachelewe kuoa? Kila m2 anamipango yake c lazima mwenzako akiolewa na wewe uolew kwa kuiga, hapana jaman.
1.Hali mbaya ya kiuchumi
2. Muda mwingi masomoni
3.Kutopata chaguo sahihi
4.Mahari kubwa
5.Kumalizia utamu wa ujana
6.Idadi kubwa ya wanawake kiasi cha mtu kutumia muda mrefu katika kuchagua na kuonja
Hizo no.6 na 5 hazinihusu kabisaaaaa
 
mimi sitokei huko yaani hamna mwanaume yeyote wa hcho kijiji hapa nilipo na nikiwaambia tuoane niwalete mjini hawataki
Niambie bana maana huko kishumundu ni upande wa mama
tena alihamia tu kwenda kulima nieleze labda kijiji chetu ni kimoja
kwani hata mimi nataka wa nyumbani!
 
1.Hali mbaya ya kiuchumi
2. Muda mwingi masomoni
3.Kutopata chaguo sahihi
4.Mahari kubwa
5.Kumalizia utamu wa ujana
6.Idadi kubwa ya wanawake kiasi cha mtu kutumia muda mrefu katika kuchagua na kuonja
Hizo no.6 na 5 hazinihusu kabisaaaaa

Hakuna tabu kama hapo
kwenye namba 6.
Yani unapata tabu kweli
kuchekecha.
Unatafuta 10 bora.
Unaenda 5 bora. Na unakuja 3 bora.
Kazi ipogo kwenye kupata
mmoja ndo awe mkeo!
 
niambie bana maana huko kishumundu ni upande wa mama
tena alihamia tu kwenda kulima nieleze labda kijiji chetu ni kimoja
kwani hata mimi nataka wa nyumbani!
sitaki mxer yaani nataka wa mita chache tuu toka home yaani awe jirani kabisa kule kijijini kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…