"Makosa"tunayofanya kwenye mahusiano

Mimi nasema ahsante kwafundisho..

pia utambue,,. kila aongezae maarifa hujiongezea masikitiko.
 
Kwa hiyo mlikonkludi nini kwenye hii yuziful sredi?:confused2::confused2::confused2:
 
Hivi bible inazungumziaje kutukana au kumwambia mwenzako kakosa akili?

Bible inazuia kutukana watu. Lakini yenyewe ndo inasema kuwa "AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA, ANAFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE". Kama una ubavu wa kubishana na Mungu basi sema nikutumie namba yake muwasiliane. When the Bible calls you a fool, you are a fool indeed no matter how the society perceives you
 
Conclusion: Tumkatae shetani na mambo yake yote.

Nasikia roho wa bwana akiniita katika utumishi. Naomba nianze na mabinamu wote.........NO TO INFIDELITY.
 
Conclusion: Tumkatae shetani na mambo yake yote.

Nasikia roho wa bwana akiniita katika utumishi. Naomba nianze na mabinamu wote.........NO TO INFIDELITY.
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
kuna mtu nadhani anaitumia hii aidii!
sio wewe bana
 
love is overrated, love is complicated, huwezi kusemea kila mtu.

Huwezi kusemea kila mtu kuhusu mahusiano yake na mpenzi wake. Lakini mada hii inatufundisha kusoma alama za nyakati za wapenzi wetu. Tukikubaliana na alama zao za nyakati mambo yanakuwa shwari.
 
Conclusion: Tumkatae shetani na mambo yake yote.

Nasikia roho wa bwana akiniita katika utumishi. Naomba nianze na mabinamu wote.........NO TO INFIDELITY.
Mkuu umechelewa kidogo...karibu kundini..
St. Roya
 
ipi hiyo FL1, hebu iweke hapa...na kwa nini ulijua hivyo>...:welcome:

wali ni uleule kama unataka kubadili mapishai si useme na mpikaji kuliko kwenda kula kwa jirani huni unajinyima uhondo? sema nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…