Makosa ya Barabarani na Faini Zake

Kifuniko

Member
Joined
May 20, 2011
Posts
97
Reaction score
18
Wana JF naomba msaada kama kuna mtu ana list ya makosa mbalimbali na faini anayopaswa mtu kutozwa pindi anapokamatwa maana trafic wanaonea watu kwa kutokujua nini haki zao
 
Kila kosa la traffic faini ni tsh 30,000 pia kutegemeana na discretion yake anaweza kukupeleka mahakamani.Orodha ya makosa ni kubwa mno,hebu tafuta traffic act.Ukweli ni kuwa kama traffic watahamua kuifuata sheria kama ilivyo magari mengi tutayapaki na faini tutalipa kila siku.
 
hiyo faini ya 30,000 ni ndogo mno, pengine ni wajibu sasa faini iendane na thamani ya gari 15% kama HESLB.
 
No, orodha ya makosa sio kubwa mkuu. BASIC TRAFFIC OFFENCES zipo 20 tu. Ukizifuata hizo kamwe huwezi kukumbana na dhahama ya matrafik uwapo barabarani. Ngoja nizitafute halafu nikuwekee hapa.
 
No, orodha ya makosa sio kubwa mkuu. BASIC TRAFFIC OFFENCES zipo 20 tu. Ukizifuata hizo kamwe huwezi kukumbana na dhahama ya matrafik uwapo barabarani. Ngoja nizitafute halafu nikuwekee hapa.
Itakuwa vzuri kama ukiziweka hapa mkuu ili tuzijue
 
No, orodha ya makosa sio kubwa mkuu. BASIC TRAFFIC OFFENCES zipo 20 tu. Ukizifuata hizo kamwe huwezi kukumbana na dhahama ya matrafik uwapo barabarani. Ngoja nizitafute halafu nikuwekee hapa.
Nakusubili mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…